Mengi yanayosemwa kuhusu UDOM kwenye soko la ajira si kweli.

Mengi yanayosemwa kuhusu UDOM kwenye soko la ajira si kweli.

Nimesoma diploma nina gpa 4.7

maisha yako yote kilaza wewe Huna lolote 4.7 upate wapi , kilaza mkubwa wewe ulikuwa division four ya 31(iv.30),ukaanza na certificate ukaunga diploma ,
 
maisha yako yote kilaza wewe Huna lolote 4.7 upate wapi , kilaza mkubwa wewe ulikuwa division four ya 31(iv.30),ukaanza na certificate ukaunga diploma ,

Pole yako wewe uliyekariri... Halafu eti unajiita msomi!
 
You are wrong, private sector tunaangalia uwezo wa mtu wa kufanya kazi. Referal, koo, dini, sex hayo hayana nafasi kinachoangaliwa ni tija tuu

mweleze, nani akuajiri wakati huingizii faida kampuni
 
si huyo bata mzinga! Ana madharau utafikiri ye ndo wa kwanza kusoma chuo kikuu dunia nzima.

wewe pimbi hebu tulia kilaza wewe umeshindwa hata kupata iii.25 ukaenda advance ,kilaza mkubwa wewe huoni hata aibu unasema kabisa nimesoma diploma,
 
udom ni majengo tu., nazani ni chuo kimechochangia hata elimu ya tanzania kusuasua.
 
Huu ni ulimbukeni tu kusifia na kubeza chuo alichosoma mwenzako. Mwisho wa siku hakuna atakaeuliza umesoma wapi, bali atauliza unajua/unaweza nini. Siku hizi sehemu nyingine hata mavyeti (Na GPA zake) ni vitu vya mwisho. Acheni kukumbatia ujinga wa kusifia wakwe badala ya mke.

........
Exactly!!!!!!!!!!"!!!!
 
Back
Top Bottom