Mengineyo: Walioandaa mapipa ya futari ili wauze kwa Mkapa kabla ya Mechi ya Simba na Yanga wapigwa na Butwaa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni miongoni mwa lundo la hasara na Manung'uniko yaliyosababishwa na Ujinga wa Makomadoo wa Yanga waliovuruga Mechi ya Derby baada ya kutumwa na Viongozi wao waliochungulia Kipigo.

Viongozi wa Yanga ni Wabinafsi ambao wako Tayari kufanya lolote ili mradi kunufaisha upande wao, Maelfu ya watu wa mikoani waliokodi mabasi ya Abiria ili kuwahi gemu hiyo hawajui wafanyeje.
 
Hahahahahaha lakini Ally Kamwe anawafikishia tumaini kuwa wasisononeke kwani die hard fans wa Yanga wao watakuja uwanjani hivyo kama kulikuwa na misosi mingine home wakaifuate.
Screenshot_20250308-142852.png
 
Hii ni miongoni mwa lundo la hasara na Manung'uniko yaliyosababishwa na Ujinga wa Makomadoo wa Yanga waliovuruga Mechi ya Derby baada ya kutumwa na Viongozi wao waliochungulia Kipigo.

Viongozi wa Yanga ni Wabinafsi ambao wako Tayari kufanya lolote ili mradi kunufaisha upande wao, Maelfu ya watu wa mikoani waliokodi mabasi ya Abiria ili kuwahi gemu hiyo hawajui wafanyeje.
Yanga wanashirikiana nà CCM kufanya wàtanzania tuendelee kuwa masikini.
Mama anaupiga mwingi.
 
Simba mnachekesha sana!

Muhimu historia imeandikwa kuwa 8/3/2025 mliwaogopa Yanga kwa kutopeleka timu uwanjani kwa sababu za kitoto kabisa.
 
Hii ni miongoni mwa lundo la hasara na Manung'uniko yaliyosababishwa na Ujinga wa Makomadoo wa Yanga waliovuruga Mechi ya Derby baada ya kutumwa na Viongozi wao waliochungulia Kipigo.

Viongozi wa Yanga ni Wabinafsi ambao wako Tayari kufanya lolote ili mradi kunufaisha upande wao, Maelfu ya watu wa mikoani waliokodi mabasi ya Abiria ili kuwahi gemu hiyo hawajui wafanyeje.
Komando ndiye anaye shikilia funguo za uwanja wa taifa.Meneja hamja mtaarifu milango angewafungilia nani.
 
Hahahahahaha lakini Ally Kamwe anawafikishia tumaini kuwa wasisononeke kwani die hard fans wa Yanga wao watakuja uwanjani hivyo kama kulikuwa na misosi mingine home wakaifuate.View attachment 3263630
Hakuna mtu mwenye akili hapo Utopolo awaoneshe barua toka BODI YA LIGI?

Naamini mtani Shadeeya una akili nawe u miongoni mwa wale wawili. Fanta haraka saa 11 inakaribia😂
 
Back
Top Bottom