Mengineyo: Walioandaa mapipa ya futari ili wauze kwa Mkapa kabla ya Mechi ya Simba na Yanga wapigwa na Butwaa

Mengineyo: Walioandaa mapipa ya futari ili wauze kwa Mkapa kabla ya Mechi ya Simba na Yanga wapigwa na Butwaa

Hii ni miongoni mwa lundo la hasara na Manung'uniko yaliyosababishwa na Ujinga wa Makomadoo wa Yanga waliovuruga Mechi ya Derby baada ya kutumwa na Viongozi wao waliochungulia Kipigo.

Viongozi wa Yanga ni Wabinafsi ambao wako Tayari kufanya lolote ili mradi kunufaisha upande wao, Maelfu ya watu wa mikoani waliokodi mabasi ya Abiria ili kuwahi gemu hiyo hawajui wafanyeje.
Ubaya ubwela aka No reform no election
 
Utopolo nunueni futari na supu hapo uwanjani....mmewatia hasara mama ntilie waliojiandaa kufuturisha leo
 
Simba mnachekesha sana!

Muhimu historia imeandikwa kuwa 8/3/2025 mliwaogopa Yanga kwa kutopeleka timu uwanjani kwa sababu za kitoto kabisa.
Kuliko wale waliosusia mechi kipindi kile kwa kitendo cha muda wa mechi kubadilishwa?
 
Kuliko wale waliosusia mechi kipindi kile kwa kitendo cha muda wa mechi kubadilishwa?
Sababu za Yanga kugomea mchezo ziikuwa na support ya sheria na kanuni za soka nchini ndiyo maana wenye mamlaka walikubali.

Nyie baada ya kuzuiliwa kufanya mazoezi na mnaowaita makomando wa Yanga kanuni zinasemaje mgomee mchezo au?

Na miaka yote mnayocheza na Yanga mbona mnatokeaga kambini na mnacheza iweje jana tu?Au hizo kanuni mmezigundua jana?
 
Hii ni miongoni mwa lundo la hasara na Manung'uniko yaliyosababishwa na Ujinga wa Makomadoo wa Yanga waliovuruga Mechi ya Derby baada ya kutumwa na Viongozi wao waliochungulia Kipigo.

Viongozi wa Yanga ni Wabinafsi ambao wako Tayari kufanya lolote ili mradi kunufaisha upande wao, Maelfu ya watu wa mikoani waliokodi mabasi ya Abiria ili kuwahi gemu hiyo hawajui wafanyeje.
Kimewalamba!!!
 
Niazime laki tano nichukue mzigo wa kuuza siku ya Kariakoo Derby. Jioni ya siku hiyo nakurudishia. Mzee kodi yako nitakulipa tarehe tisa, uhakika.
 
Hii nchi haina watu smart inapokuja swala la kuangalia maslahi ya watu.

Mfano hawa wafanyabiashara Ambao walikuwa tayari wameshachukua bidhaa ili waje wafanye biashara .

So ingekuwa vizuri Kama mechi itakuwa inaelekea kuhairishwa iwe at least wiki mbili kabla
Press ya Simba imetoka tangu jana usiku..hawakuiona?
 
Linapokuja suala la mpira na dini watanzania wengi akili wanaweka pembeni
 
Back
Top Bottom