Mengineyo: Walioandaa mapipa ya futari ili wauze kwa Mkapa kabla ya Mechi ya Simba na Yanga wapigwa na Butwaa

Ubaya ubwela aka No reform no election
 
Utopolo nunueni futari na supu hapo uwanjani....mmewatia hasara mama ntilie waliojiandaa kufuturisha leo
 
Simba mnachekesha sana!

Muhimu historia imeandikwa kuwa 8/3/2025 mliwaogopa Yanga kwa kutopeleka timu uwanjani kwa sababu za kitoto kabisa.
Kuliko wale waliosusia mechi kipindi kile kwa kitendo cha muda wa mechi kubadilishwa?
 
Kuliko wale waliosusia mechi kipindi kile kwa kitendo cha muda wa mechi kubadilishwa?
Sababu za Yanga kugomea mchezo ziikuwa na support ya sheria na kanuni za soka nchini ndiyo maana wenye mamlaka walikubali.

Nyie baada ya kuzuiliwa kufanya mazoezi na mnaowaita makomando wa Yanga kanuni zinasemaje mgomee mchezo au?

Na miaka yote mnayocheza na Yanga mbona mnatokeaga kambini na mnacheza iweje jana tu?Au hizo kanuni mmezigundua jana?
 
Kimewalamba!!!
 
Niazime laki tano nichukue mzigo wa kuuza siku ya Kariakoo Derby. Jioni ya siku hiyo nakurudishia. Mzee kodi yako nitakulipa tarehe tisa, uhakika.
 
Press ya Simba imetoka tangu jana usiku..hawakuiona?
 
Linapokuja suala la mpira na dini watanzania wengi akili wanaweka pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…