Menina aishtaki DSTV, adai shilingi za kitanzania bilioni 1.2

Huwezi kushinda kesi ya namna hii kutokana na ukubwa wa company yenyewe sababu ina uwezo wa kufanya kila kitu ili ishinde kesi. probability ya kushindwa ni 99% huo muda atakaopoteza ni bora aendelee na kazi zake za ajabu.
Tigo ni kampuni ndogo? Walipigwa hela ya kutosha FA &AY.....sheria tu ikifuata mkondo wake na kama wana hoja wanashinda kesi.
 
Suala sio udogo wa kampuni au ukubwa, suala ni kuwashitaki Dstv badala ya kuwashitaki majirani, shida inaanzia hapo
Unajua sheria ndugu japo kwa uchache?....chombo kilichorusha content isiyofaa kinaepuka vipi kushitakiwa?
 
Akipata mwanasheria mzuri anashinda kesi hii. Haya ma vipindi mengine ya umbea umbea ni ya kijinga sana
Sasa kwani dstv ndo wamemchafua?..

Akawashtaki majirani walio mchafua Dstv kwa walicho fanya watamsaidia ushahidi mana video zipo ye apambane na majirani
 
Mwana FA na AY waliishinda kampuni ya tg, unataka kutuambia Kuwa Tigo ni kampuni ndogo?
Angalia na kesi yenyewe wewe kesi gani sasa iyo badala awashtaki majirani ye anawashtaki dstv? Akili za wapi izo?
 
Bwashee naomba urudi shule ukajifunze kuandika aisee....unakera sana na huo uandishi wako wa chekechea!
Buloo wangu huwenda Mimi nimekuzihidi helimu na hela kwhy kunifundihisha kiswahili hunakosea kwakweheli
 
Namshauri aendelee na matangazo ya WIX kuliko kupoteza muda wake huko DSTV
 
una hakika Dstv unajua ni nini ndugu yangu? we endelea kuangalia movie za Juma khan za kutafsiri kwenye mabanda ya kuku huko nanjilinji


Mkuu DSTV bado wanapromote kipindi.

Menina aliharibu zile video za uchi, kuanzia pale hata kazi za UMC zilipungua sana hadi Dr Cheni akamtoa kwenye kazi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…