Menina aolewa na kigogo kwa siri

Menina aolewa na kigogo kwa siri

Mbona mama menina kavaa msalaba wkt menina msilamu, na huyo bwana kibaragashee kimemkaa utadhani kazoea
 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka toleo la BSS Menina aolewa kwa siri,nyumbani kwao Kigamboni na mtoto wa aliekuwa waziri wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo.

Inasemekana Menina aligoma katakata kubadili dini hivyo kumlazimu mtoto wa waziri kubadili dini na kufunga ndoa ya Kiislamu na sasa wako honey moon ndani ya nchi.

Nawatakia ndoa njema na maisha mema...

=============

View attachment 279110

Halafu the guy sio mtoto wa kuzaa wa muhongo...
Wa kuasili tu...
 
Kwa mtoto menina nilikuwa nampenda sana....sio dini tu hata kabila ningebadili....keruuuuuu....
 
.....ila faida yake ni kuwa anaweza kuongeza mizigo mingine 3!
 
Sio km hana watoto...
Si inawezekana ht baba yako akaamua kusaidia ndg...

Najua hilo my dear, ndio maana nikakuuliza kuwa "ana" watoto? Na sio "hana" watoto...
 
mbona kaolewa na shombe flan hivi au sio huyo????
 
Huyu menina alivunja ndoa yake kisa kutembea na baba mkwe sasa ivi kaolewa tena na mwanaume mwingine
Mmh mbona wanasema mwanaume akitaka kurudi kwenye ukristu ndiyo maana wameachana.
 
Back
Top Bottom