Hahaa...kweli lakini..Ukiona mtu ametoboa ulimi ile sifa ya w/material inakufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa...kweli lakini..Ukiona mtu ametoboa ulimi ile sifa ya w/material inakufa.
InawezekanaHahaa...kweli lakini..
Dini inakataza sex?
Dini inakataza sex?
Sioni vizuri ulichoandika, umesema ni bint mshika dini na wife material?Nasikia huyo peter alikua anamkong'oli manundu mtoto mzuri menina. Binti akaona isiwe shida waachane kimya kama walivyofunga ndoa kimya!
Yaan ukiingia insta ya menina utaona kabisa ni binti wa dini sana halafu anajiheshimu sio kama miaka ya zamani alivokua anaimba. Inshort ni wife material kwa sasa,jamaa kachezea kizuri mwenzie kakiwahi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]rudia kuandika ulichoandika mkuu
Inakataza uzinziii[emoji23]Dini inakataza sex?
💯💯💯💯Bongo movie wasanii wengi wao ni malay tu wanatafuta wanaume
Wanaume nao wanatafuta wanawake wawe vingasti
Ova
Kweli.????Nasikia huyo peter alikua anamkong'oli manundu mtoto mzuri menina. Binti akaona isiwe shida waachane kimya kama walivyofunga ndoa kimya!
Yaan ukiingia insta ya menina utaona kabisa ni binti wa dini sana halafu anajiheshimu sio kama miaka ya zamani alivokua anaimba. Inshort ni wife material kwa sasa,jamaa kachezea kizuri mwenzie kakiwahi.
ya zamani hayo..majuba na mahijabu yanasitiri wadada na kuwapa sifa njema..binti alikua anafundisha mpaka madrassa..full kupiga dua.Kweli.????
Zamani hiyoSioni vizuri ulichoandika, umesema ni bint mshika dini na wife material?