Meninah amwanika Diamond tena, afunguka mengi kuhusu mahusiano yao, pia jinsi Wema alivyo mpapresha

naomba picha ya huyo msupuu nione anafananaje?! kutoa maneno ya shombo kama hayo ......... anaelekea ni mshamba mshamba!" akitokewa akichomoa apige kimya, anatangaza ili iweje.

Grand PA
 
Hii issue ni ndogo sana ila tu kuna watu wanataka waikuze
 
Kwa mara ya kwanza tangu wadaiwe kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Menina Atik a.k.a Menina la diva na Nguli wa Bongo Fleva nchini Nasib Abdul 'Diamond' hatimaye ukweli umepatika baaada ya kuzinasa meseji za meninah alizofunguka kususu mahusiano yake na Diamond.

Meseji hizo zimenaswa kutoka kwenye simu ya Meninah ambaye alikuwa akichati naye kuhusu mwenendo mzima wa Mahusiano yake na Diamond kupitia "Chating" hizo Meninah amekiri kwamba Diamond alimtaka kimapenzi na alifikia hatua ya kujitambulisha nyumbani kwao kwa nia ya kumuoa lakini alimtolea njekwa sababu tayari alikuwa na mchumba mwingine na alishavishwa pete.

Aidha,Menina aliendelea kubainisha kwamba diamond alianza kulifukuzi penzi lake toka 'Long time' toka alivyokuwa na mpenzi wake Nasri,Diamond aliendelea kupiga Nyayo Nyumbani kwao kila siku "Alikuwa akinisumbua toka niko na mpenzi wangu Nasri mpaka nimeachana naye mpaka leo ananitaka"Alifunguka meninah katika moja ya meseji hizo aliendelea kufunguka na kusema kuwa Diamond alionyesha hisia zake kwa kupeleka taarifa kwenye moja ya magazeti ya udaku kwa minajili ya kumlegeza ili akubali kuwa mpenzi wake.

"Sasa yeye(Diamond) akadhani kwamba anitoe kwenye magazeti labda mimni nitaogopa then nitajikuta niko nae, mimi diamond simtaki.....akaa...kwanza wa nini!" Hata hivyo meninah aaliitaja sababu nyingine ya kumpiga chini diamond akisema kwanza tayari yuko na wema na mimi Wema nam-respect halafu amevishwa pete na mchumba;angu nimsaliti yanini ninayempenda..... akangeza na utani"Domo lake lile nitalipeleka wapi;he is noteven cute.

we cant match.

"Habari ndiyo iyo!!!"
mleta mada acha kumlisha meninah maneno, si umesema sms zilinaswa??? ndio uziweke hapa, usitake kutuletea riwaya sisi
 
story imetungwa mwanzo mwisho, sasa sijui ni kwa nia ya kumpa nani kick kati ya meninah na mondi
 
hichi kidemu meninah nakijua hadi kwao kigamboni sababu ni majirani,nashindwa kuelewa hadhi anayojitangazia wakati uswahilini ni macho juu kujipitisha baa,..hebu niweke wazi huyu demu ashawahi kujipendekeza kwangu nikamignore mwanzo mwisho...nyambaf
 
Hakina lolote kazi kubadili wanaume tuu.....mchezo wake maeneo ya makumbusho kinajifanya kinaingia saloon kikiwa kimeletwa na moja ya mabwana zake bwana akisepa tu kumbe anaappointment na bwana mwingine kinafuatwa muda huo huo hata dakika kumi hazifiki hata saloon hakuna tena!!!
 
Huyu dada moungo na anatafuta umaarufuu ea bureee
 
Kwa mara ya kwanza tangu wadaiwe kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Menina Atik a.k.a Menina la diva na Nguli wa Bongo Fleva nchini Nasib Abdul 'Diamond' hatimaye ukweli umepatika baaada ya kuzinasa meseji za meninah alizofunguka kususu mahusiano yake na Diamond.

Meseji hizo zimenaswa kutoka kwenye simu ya Meninah ambaye alikuwa akichati naye kuhusu mwenendo mzima wa Mahusiano yake na Diamond kupitia "Chating" hizo Meninah amekiri kwamba Diamond alimtaka kimapenzi na alifikia hatua ya kujitambulisha nyumbani kwao kwa nia ya kumuoa lakini alimtolea njekwa sababu tayari alikuwa na mchumba mwingine na alishavishwa pete.

Aidha,Menina aliendelea kubainisha kwamba diamond alianza kulifukuzi penzi lake toka 'Long time' toka alivyokuwa na mpenzi wake Nasri,Diamond aliendelea kupiga Nyayo Nyumbani kwao kila siku "Alikuwa akinisumbua toka niko na mpenzi wangu Nasri mpaka nimeachana naye mpaka leo ananitaka"Alifunguka meninah katika moja ya meseji hizo aliendelea kufunguka na kusema kuwa Diamond alionyesha hisia zake kwa kupeleka taarifa kwenye moja ya magazeti ya udaku kwa minajili ya kumlegeza ili akubali kuwa mpenzi wake.

"Sasa yeye(Diamond) akadhani kwamba anitoe kwenye magazeti labda mimni nitaogopa then nitajikuta niko nae, mimi diamond simtaki.....akaa...kwanza wa nini!" Hata hivyo meninah aaliitaja sababu nyingine ya kumpiga chini diamond akisema kwanza tayari yuko na wema na mimi Wema nam-respect halafu amevishwa pete na mchumba;angu nimsaliti yanini ninayempenda..... akangeza na utani"Domo lake lile nitalipeleka wapi;he is noteven cute.

we cant match.

"Habari ndiyo iyo!!!"

Who is meninah anyway?
 
Back
Top Bottom