Meninah amwanika Diamond tena, afunguka mengi kuhusu mahusiano yao, pia jinsi Wema alivyo mpapresha

naomba picha ya huyo msupuu nione anafananaje?! kutoa maneno ya shombo kama hayo ......... anaelekea ni mshamba mshamba!" akitokewa akichomoa apige kimya, anatangaza ili iweje.

Grand PA
 
naomba picha ya huyo msupuu nione anafananaje?! kutoa maneno ya shombo kama hayo ......... anaelekea ni mshamba mshamba!" akitokewa akichomoa apige kimya, anatangaza ili iweje.

Grand PA
 
Hii issue ni ndogo sana ila tu kuna watu wanataka waikuze
 
mleta mada acha kumlisha meninah maneno, si umesema sms zilinaswa??? ndio uziweke hapa, usitake kutuletea riwaya sisi
 
story imetungwa mwanzo mwisho, sasa sijui ni kwa nia ya kumpa nani kick kati ya meninah na mondi
 
hichi kidemu meninah nakijua hadi kwao kigamboni sababu ni majirani,nashindwa kuelewa hadhi anayojitangazia wakati uswahilini ni macho juu kujipitisha baa,..hebu niweke wazi huyu demu ashawahi kujipendekeza kwangu nikamignore mwanzo mwisho...nyambaf
 
Hakina lolote kazi kubadili wanaume tuu.....mchezo wake maeneo ya makumbusho kinajifanya kinaingia saloon kikiwa kimeletwa na moja ya mabwana zake bwana akisepa tu kumbe anaappointment na bwana mwingine kinafuatwa muda huo huo hata dakika kumi hazifiki hata saloon hakuna tena!!!
 
Huyu dada moungo na anatafuta umaarufuu ea bureee
 

Who is meninah anyway?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…