Meninah: Mimi na Diamond hatuendani

Meninah: Mimi na Diamond hatuendani

Ahhh dangoteee kwl pesa ndo habari dunia kila mtu anatafuta kick kutoka kwa diamond...sasa hivi hata mdomo umekuwa urembo
 
Menina is a sweet lady,WTF you expect we unafikiri hata mie nkimpata ntamwacha kweli...hongera Domo kwa kazi iliyotukuka Wema hapo chali kabisaa
 
Yani sijui anawadanganyaje au anawafanyaje humo ndani mpaka wanakubali kuchanganywa kama unga wa ngano.........
 
whats so special with meninah,its ridiculous to call her a 'star'
 
Wanakataaga hivyo hivyo mwishowe mambo yote hadharani
 
Maduu wa kibongo yaani ni Shiida alishajifrontisha kwa Mondi mpk atoe mark eti yeye chini Mondi Juu.
 
huyu meninah ni wa ajabu sana,choreography zake anafanyia baa for all to see,shemeji yenu ndiye aliyeniambia kuwa ni msanii,jicho alilokuwa ananitupia kidogo livunje ndoa...mi ni mkazi wa kigamboni na yeye ni mkazi wa huko..
 
Na wewe ungemkonyeza.
 
Jamani hivi hiyo pesa gani aliyokuwa nayo ya kupiga shoo za 3200 mnigeria noma sana kwanini umetoa siri mimi nimesema shoo za ulayaa nalipwa € 20000
 
STAA wa muziki wa Bongo Fleva , Meninah Abdulkareem ‘ Meninah’ amefunguka juu ya tetesi zinazoenea kuwa na uhusiano wa chinichini na Nasib Abdul ‘ Diamond ’ kwa kusema kuwa siyo levo yake.

Akichonga na paparazi wetu , Meninah anayetamba na ngoma ya Pipi ya Kijiti alikanusha na kusema kuwa , wote ni mastaa lakini wametofautiana kwa kiasi kikubwa na kwamba hawezi kuwa naye katika mahusiano ya aina yoyote.

“Kwanza nilishawahi kukutana naye kwenye shoo tofauti na zote sikuwahi hata kuzungumza naye chochote, ni staa na mimi staa lakini tunatofautiana kuwa yeye yupo juu yangu, ” alisema Meninah .

Inawezekana anamchimba maana ukaribu wake wa ghafla na mpambe wa diamond Rommy Jons ni wakutia mashaka, na rommy ni maarufu kwa "KUSHIKA MAPEMBE"
 
Jamani hivi hiyo pesa gani aliyokuwa nayo ya kupiga shoo za 3200 mnigeria noma sana kwanini umetoa siri mimi nimesema shoo za ulayaa nalipwa € 20000

Hiyo alikuwa anamalizia balance iliyobaki, baada ya kumpa advance ikiwepo nauli na kuandaa sehemu ya kufikia.. By the way alisema analipwa tsh 20,000 sio euro 20,000...!
 
Back
Top Bottom