Kasema "yeye yupo juu yangu".
Bongo kila mtu ni star ni wewe mwenyewe ukijisikia kujiita tu, Le Mutuz yeye anajiita big celeb king of all social network.whats so special with meninah,its ridiculous to call her a 'star'
Yaani domo ana sumu mbaya......akae nae mbali kabisaaaaaaaa
Huyu ndiyo meninah
Umejuaje ana sumu mbaya??
kBongo kila mtu ni star ni wewe mwenyewe ukijisikia kujiita tu, Le Mutuz yeye anajiita big celeb king of all social network.
huyu meninah ni wa ajabu sana,choreography zake anafanyia baa for all to see,shemeji yenu ndiye aliyeniambia kuwa ni msanii,jicho alilokuwa ananitupia kidogo livunje ndoa...mi ni mkazi wa kigamboni na yeye ni mkazi wa huko..
STAA wa muziki wa Bongo Fleva , Meninah Abdulkareem Meninah amefunguka juu ya tetesi zinazoenea kuwa na uhusiano wa chinichini na Nasib Abdul Diamond kwa kusema kuwa siyo levo yake.
Akichonga na paparazi wetu , Meninah anayetamba na ngoma ya Pipi ya Kijiti alikanusha na kusema kuwa , wote ni mastaa lakini wametofautiana kwa kiasi kikubwa na kwamba hawezi kuwa naye katika mahusiano ya aina yoyote.
Kwanza nilishawahi kukutana naye kwenye shoo tofauti na zote sikuwahi hata kuzungumza naye chochote, ni staa na mimi staa lakini tunatofautiana kuwa yeye yupo juu yangu, alisema Meninah .
Jamani hivi hiyo pesa gani aliyokuwa nayo ya kupiga shoo za 3200 mnigeria noma sana kwanini umetoa siri mimi nimesema shoo za ulayaa nalipwa 20000
Huyu ndiyo meninah