kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,677
wale wataalam wa meno me nnashida moja tuu pindi nilvyokuwa na umri wa miaka 10 kwenda chini nilikuwa nasugua meno kwa whitedent nayalikua yang'aa meupeeeee mhh ila sasa hv meno yangu najitahid kusugua zaid ya mara3 kwa siku lakin hayai km nnavyota natumia whitedent miaka yote naomba mniambie meno yangu sio mabaya ila ukiyaangalia kwa karibu sana unaweza ukagundua kwamba yamefubaa kidogoooooo.......nini nfafanye ili yameremete
...dawa hizi nina shaka nazo! ingawaje zinauzwa kwa bei nafuu...!
...ni bora utafute dawa nyingine tu..., ambazo' "clinically proven fluoride toothpaste - dentists recommend"