Meno kuwa kahawia

Meno kuwa kahawia

ldd

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
790
Reaction score
128
Wataalamu, naomba msaada mtoto wa miaka 6 aling'oa meno ya mbele, yalivyoota tu yakawa na rangi kama ya kahawia, je tiba yake ni nn!? Nawakilisha
 
Kazaliwa arusha/moshi? Kama kazaliwa huko no way, labda yasafishwe lakini yakisafishwa yanakuwa weak na anatakiwa arudie Mara kwa Mara, nasikia pia maziwa fresh akinywa kwa wingi yanasaidia
 
Back
Top Bottom