Meno ya bandia

Meno ya bandia

Zogoo da khama

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
631
Reaction score
592
Habari na poleni na majukumu yenu,
Ndugu zangu nahitaji meno ya bandia, mimi nipo Dar wapi naweza kupata? mwenye kujua yanapouzwa na kubandikwa anijulishe plz!!
 
Clinic hata hapo muhimbili wameanzisha clinic ya meno huduma hizo ZIPO zote..jina moja kwenye 30000 hivi kulisafisha Sasa sijui kuweka meno bandia gharama zake
 
Back
Top Bottom