Zogoo da khama
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 631
- 592
Habari na poleni na majukumu yenu,
Ndugu zangu nahitaji meno ya bandia, mimi nipo Dar wapi naweza kupata? mwenye kujua yanapouzwa na kubandikwa anijulishe plz!!