Meno ya Ndovu na Pembe za Tembo ipi sahihi?

Na mimi naunganisha swali lingine kutokana na heading yako,
Nini tofauti kati ya Tembo na Ndovu?

Tusubiri majibu mkuu.
 
Pembe za ndovu ni zile kubwa tunazoziona zimeota nje ya kichwa cha tembo zinaning'ing'inia kushuka chini.

Meno kama yalivyo meno ya wanyama wengine ( haya hayaonekani kwa nje) kuhusu tembo na ndovu nadhani ni maneno mawili yenye kumaanisha kitu kimoja (synonymous)

Nimejibu kadri ya uelewa wangu wataalamu watarekebisha kwenye makosa
 
Mara nyingi kwenye taarifa za habari utaziona hizo pembe lakini watakachosema ni meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…