Meno ya Plastic kwa watoto wachanga

Kila mtoto anazaliwa na meno tayari, it is a matter of time kabla hayajatoboa fizi na kutoka. Inatokea kuna wakati meno yanashindwa kupasuka Na kuota, hivyo kusababisha infection ama kuvimba fizi.

Ulazima wa kuyatoa utaamuliwa Na daktari baada ya x-ray kuangalia kama jino Lina uwezekano wa kuja kutoka lenyewe bila kuharibu mfupa wa taya, kama jino lina cyst ama bakteria.

Soma kuhusu unerupted teeth utaelewa zaidi.

Unerupted Tooth
 
kitaalam yanaitwa "neonatal teeth" huonekana kwa mtoto mchanga siku thelathini baada ya kuzaliwa, sababu ya mtoto kuwa na meno hayo mpaka sasa bado hazijagundulika lasmi na wataalamu,mara nyingi huwa wanashauri yatolewe kwasababu kama dr scotch alivyozisema "Sometimes it is appropriate to leave newborn baby teeth (aka “neonatal teeth”).

Often, however, they are present before developing any root structure and are at very high risk of falling out and blocking their airway.

It could trigger a spasm that would block their breathing and possibly could result in death. If the neonatal teeth are wobbly and at risk of falling out before the infant has developed protective reflexes and could choke, it is recommended that they be removed. This is a decision made by consulting pediatricians and dentists."

Mimi pia mwanangu alikuwa na meno ya aina hii, nililazimika kumtoa mapema,wakati namtoa sababu sikuzijua ila tamaduni nyingi za kikwetu huwa wanayaota na mimi nilijikuta nafuata mkumbo wa tamaduni, zamani makabila mengine watoto wakizaliwa na meno ya namna hii walikuwa wanatupwa wakihesabika kama mkosi, nashukuru sikuwepo hapo zamani maana ningemkosa mwanangu hivi hivi
 
mnyikungu, nadhani ni muhimu sana kuhakikisha hata kama yanatolewa yatolewe hospitali. Kwa sababu za kiusalama pia. Pole sana
 
Reactions: BAK
Asanteni sana wadau wote kwa michango yenu nimejifunza kitu muhimu juu ya hili!!
 
Ni uzushi tu.... na watu wameupokea kama ulivyo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…