second king
Member
- Feb 8, 2016
- 94
- 43
Naomba msaada kufahamishwa juu ya madhara ya meno ya plastic kwa watoto wachanga na je kuna ulazma wa kuyatoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba msaada kufahamishwa juu ya madhara ya meno ya plastic kwa watoto wachanga na je kuna ulazma wa kuyatoa?
kitaalam yanaitwa "neonatal teeth" huonekana kwa mtoto mchanga siku thelathini baada ya kuzaliwa, sababu ya mtoto kuwa na meno hayo mpaka sasa bado hazijagundulika lasmi na wataalamu,mara nyingi huwa wanashauri yatolewe kwasababu kama dr scotch alivyozisema "Sometimes it is appropriate to leave newborn baby teeth (aka “neonatal teeth”). Often, however, they are present before developing any root structure and are at very high risk of falling out and blocking their airway. It could trigger a spasm that would block their breathing and possibly could result in death. If the neonatal teeth are wobbly and at risk of falling out before the infant has developed protective reflexes and could choke, it is recommended that they be removed. This is a decision made by consulting pediatricians and dentists."
Mimi pia mwanangu alikuwa na meno ya aina hii, nililazimika kumtoa mapema,wakati namtoa sababu sikuzijua ila tamaduni nyingi za kikwetu huwa wanayaota na mimi nilijikuta nafuata mkumbo wa tamaduni,zamani makabila mengine watoto wakizaliwa na meno ya namna hii walikuwa wanatupwa wakihesabika kama mkosi, nashukuru sikuwepo hapo zamani maana ningemkosa mwanangu hivi hivi

Kuyatoa bro fika kwa dentist aliekarib na wwdawa yake kabisa ni IPI naomba kujibiwa
Kuyatoa bro fika kwa dentist aliekarib na ww