Meno ya rangi

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Wadau nauliza, haya meno yenye florin nyingi hadi kubadilika rangi yanaweza kurudi kuwa meupe? Kama yawezekana, ni wapi hii huduma inapatikana?
 
Inawezekana...na huduma hiyo inapatikana kwenye dental clinics nyiingi tu hapa Bongo. Kinachofanyika ni kuwa wanacover hiyo rangi ya brown na materials zinazotumika kutengeneza jino na hizo rangi zote zinafichika, meno yanakuwa meupe ajabu, na haina madhara yeyote kiafya!
 
hope wanaohitaji huduma hii wana pa kwenda sasa. Ila, pamoja na kutokuwa na madhara kiafya, inadumu muda gani? Ukipiga mswaki itatoka? Is it renewable or permanent?
 
hii huduma ipo shabbir dental clinic hapo city center; actually scientifically one has to go 4 dental check up after every six months ... so this bleeching can also be done after six months but not necessarily after six months; once u do the bleeching its permanent ila with time meno becomes yellow or dull in color ( comon for every1) so inorder to inhance the color u can do it every six months......... its nt very expensive!!
 
ebana eeeh,mzee naomba ful deteilz da hlo eneo aisee kumbe naweza kuwa modo. Maana daah k2 cha njano kaa yanga damu au nimesukutua uharo. Where eggyzaktly z dat hospital?
 
hii avatar kila nikiiangalia siielewi elewi.....sijui ina maana gani
 
poa ndugu. Tumekupata kwa hilo. Mine are ok ila niliuliza just in case
 
ebana eeeh,mzee naomba ful deteilz da hlo eneo aisee kumbe naweza kuwa modo. Maana daah k2 cha njano kaa yanga damu au nimesukutua uharo. Where eggyzaktly z dat hospital?

hahahahahahahahahahaaa! Duh! Jf ina mambo!
 
ebana eeeh,mzee naomba ful deteilz da hlo eneo aisee kumbe naweza kuwa modo. Maana daah k2 cha njano kaa yanga damu au nimesukutua uharo. Where eggyzaktly z dat hospital?

kunywa kikombe chako, au hakiponyeshi unatugea ss tu sio?
 
Hii dental clinic iko hapa Dar es salaam, city center; mtaa wa Asia. Doctor anaitwa Dr. Mohamedali and the clinic's name is SD Dental Clinic.

You can go w/out appointment
 
nenda muhimbili, huduma hyo ipo mpaka ya kunyoosha meno yaliyopinda, kuweka mwanya, kuziba pengo,
 
Arusha Vipi.
Alafu nakumbuka hii ilikua moja ya ahadi za Lemma.
 
Hii dental clinic iko hapa Dar es salaam, city center; mtaa wa Asia. Doctor anaitwa Dr. Mohamedali and the clinic's name is SD Dental Clinic.

You can go w/out appointment

AsAnte mkuu,soon I Will BE tHErE!
 
Hiyo ni kwa watu wazima kama watoto ni wadogo miaka 3-6, hiyo huduma inaweza fanyika? Asante sana.
 
ebana eeeh,mzee naomba ful deteilz da hlo eneo aisee kumbe naweza kuwa modo. Maana daah k2 cha njano kaa yanga damu au nimesukutua uharo. Where eggyzaktly z dat hospital?

hahhahahahahh sikutegemea kucheka jioni ya leo!!!
 
Huduma hiyo inapatikana kwenye hospitali nyingi za rufaa kwa sasa. Pia kwenye clinic za madaktari waliobobea. Hakikisha unamwona dentist anayeaminika. Huduma hii inafanyika kwa kuazia Tsh laki mbili mpaka Mil moja kutegemeana na hali ya meno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…