Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Wadau nauliza, haya meno yenye florin nyingi hadi kubadilika rangi yanaweza kurudi kuwa meupe? Kama yawezekana, ni wapi hii huduma inapatikana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hope wanaohitaji huduma hii wana pa kwenda sasa. Ila, pamoja na kutokuwa na madhara kiafya, inadumu muda gani? Ukipiga mswaki itatoka? Is it renewable or permanent?Inawezekana...na huduma hiyo inapatikana kwenye dental clinics nyiingi tu hapa Bongo. Kinachofanyika ni kuwa wanacover hiyo rangi ya brown na materials zinazotumika kutengeneza jino na hizo rangi zote zinafichika, meno yanakuwa meupe ajabu, na haina madhara yeyote kiafya!
nenda samunge kama una imani!ni wapi hii huduma inapatikana?
hii huduma ipo shabbir dental clinic hapo city center; actually scientifically one has to go 4 dental check up after every six months ... so this bleeching can also be done after six months but not necessarily after six months; once u do the bleeching its permanent ila with time meno becomes yellow or dull in color ( comon for every1) so inorder to inhance the color u can do it every six months......... its nt very expensive!!
poa ndugu. Tumekupata kwa hilo. Mine are ok ila niliuliza just in casehii huduma ipo shabbir dental clinic hapo city center; actually scientifically one has to go 4 dental check up after every six months ... so this bleeching can also be done after six months but not necessarily after six months; once u do the bleeching its permanent ila with time meno becomes yellow or dull in color ( comon for every1) so inorder to inhance the color u can do it every six months......... its nt very expensive!!
ebana eeeh,mzee naomba ful deteilz da hlo eneo aisee kumbe naweza kuwa modo. Maana daah k2 cha njano kaa yanga damu au nimesukutua uharo. Where eggyzaktly z dat hospital?
![]()
hii avatar kila nikiiangalia siielewi elewi.....sijui ina maana gani
ebana eeeh,mzee naomba ful deteilz da hlo eneo aisee kumbe naweza kuwa modo. Maana daah k2 cha njano kaa yanga damu au nimesukutua uharo. Where eggyzaktly z dat hospital?
Hii dental clinic iko hapa Dar es salaam, city center; mtaa wa Asia. Doctor anaitwa Dr. Mohamedali and the clinic's name is SD Dental Clinic.
You can go w/out appointment