Meno ya Wema, Jokate na Zari

americana

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
84
Reaction score
37
Jamani leo naomba mnisaidie kwenye hili jambo, kuna kasumba ya watu kujadili mambo mengi sana mpaka maumbile au viungo vya baadhi ya macelebrity hapa nchini.

Mfano, wengi tushasikia mjadala juu ya miguu ya Wema ikishindanishwa na ya Zari. Leo nataka nione uzuri wao wote Wema, Zari na Jokate kwenye mpangilio wa meno yao (dental formula) kwa ujumla.

Maana yangu: Toka nimemfahamu Zari kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, sijawahi kumuona akikenua meno, mara nyingi anapigaga kiugumu mno, akijitahidi sana atatabasamu tu.

======

 
Yaani tumekosa vya kujadili hadi tuanze kujadili meno jamani?

Acha tu mkuu yani wengine sijui wanafikiri nini
Kweli shida tulizonazo kama watanzania mambo magumu tunayopitia kweli
1. Ajali kila siku,
2.Vifo vya wajawazito na watoto
3. Issue ya ndugu zetu albino
4. Habari ya mujini foleni za BVR
5. Coming Uchaguzi
6. Shida ya upatikanaji wa huduma muhimu za kijamii (maji, hospotal dawa na vitendea kazi, umeme, and every thing)
7. Mdondoko wa Tsh unavyoumiza wafanyabiashara na watumiaji/ walaji
Almost everything around us ni problem.......mwenzetu kaona meno ya wema, zari na jocket kweli God forbid
 
Mkuu, una muda mwingi, It seems una nyota ya ulinzi, kama umejitahidi Kuwa macho kufatilia meno ya raia...
 
Ndio mahna jukwaa hili mnapuuzwa kwa maono ya kizembe kma aya
 
Naipenda sana Celebrity forum, but I think am too old for this shit lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…