Jamani leo naomba mnisaidie kwenye hili jambo, kuna kasumba ya watu kujadili mambo mengi sana mpaka maumbile au viungo vya baadhi ya macelebrity hapa nchini.
Mfano, wengi tushasikia mjadala juu ya miguu ya Wema ikishindanishwa na ya Zari. Leo nataka nione uzuri wao wote Wema, Zari na Jokate kwenye mpangilio wa meno yao (dental formula) kwa ujumla.
Maana yangu: Toka nimemfahamu Zari kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, sijawahi kumuona akikenua meno, mara nyingi anapigaga kiugumu mno, akijitahidi sana atatabasamu tu.
======