Meno Yaliyotoboka au kuoza Yanatibika …Usipange Kutoa jino / Meno Yako!

Zirconium

Senior Member
Joined
Feb 1, 2025
Posts
196
Reaction score
254
Habari , Iwapo meno yako yametoboka na unashindwa kutafuna chakula na Kujiamini mbele za watu basi Unaweza pata suluhisho la Kudumu kwa kupata huduma ya kuziba na Kutibia mzizi wa jino bila Kutoa jino lako
-Huduma hii itakusaidia kuweza kuwa na meno imara
-Utatafuna chakula vizuri
-Utalinda meno mengine yasiharibike
-Utajiamini mbele za watu ( Smile & confidence

Nimeambatanisha picha ya Matibabu Ya mzizi wa jino kabla na baada ya Matibabu uone Ubora wa Kazi zetu ….Pia Tunatoa huduma zingine za Kinywa na meno ikiwepo👇
1. Uchunguzi & Kuondoa meno yaliyoharibika sana
2.Matibabu Ya Mzizi wa Jino ( Endodontics )
3. Kuziba meno Yaliyotoboka/Kuvunjika au kuoza( Restorative Dentistry)
4.Kusafisha & Kung’arisha meno ( Proffesional Cleaning services)
5. Kupanga meno yaliyokaa Katika mpangilio Usio Sahihi ( Orthodontic )
6. Urembo wa meno ( Cosmetic dentistry
7.Huduma ya Meno bandia ya aina zote ( Prosthodontics)

Tunapatikana Dar es salaam , Pwani
Tupigie 0658950085
Nb : Huduma zetu ni kwa Appointment 📅 tu
IMG_4892.jpeg
IMG_4893.jpeg
IMG_4894.jpeg
 
Nb : Huduma zetu ni kwa Appointment 📅 tu View attachment 3577805View attachment 3577806View attachment 3577809
nakupatia wapi!?
 
Back
Top Bottom