unadhani kwa nini kuna madaktari wa meno??
hayo madawa ya asili ambayo unakomaa nayo yamekushinda unakuja JF upewe mengine ya asili uende ukajaribu, na yatatoka hadi yaliyobaki uwe kibogoyo... Tatizo kama lako ni la kumuona daktari fasta na ka ushafika umri wenyewe ambao meno hayaoti yakishatoka sioni sababu ya kuzembea swala kama hili..