Meno Yametoboka - Msaada Please!!

Meno Yametoboka - Msaada Please!!

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Nimengo'a meno zaidi ya 5 now. Kuna mengine(magego) 3 yalitoboka, nikaziba. Kwa sasa yamezibuka, yaani yanauma na siwezi tafuna chochote kwa kutumia meno ya mbele. Nilitumia dawa Fulani ya asili ya kusukutua na kumeza la sikupona. Msaada wapendwa naombeni!!
 
Pole lakini jaribu fanya utafiti ujue tatizo nini linalosababisha matatazo hayo. kama ulisha fanya uchunguzi hospital na kushindwa nitafute. +255 689 417472
 
Sukutua meno kwa utonvu wa papai, yani uronvu wa papai unafanya ka dawa ya mswaki.
 
unadhani kwa nini kuna madaktari wa meno??
hayo madawa ya asili ambayo unakomaa nayo yamekushinda unakuja JF upewe mengine ya asili uende ukajaribu, na yatatoka hadi yaliyobaki uwe kibogoyo... Tatizo kama lako ni la kumuona daktari fasta na ka ushafika umri wenyewe ambao meno hayaoti yakishatoka sioni sababu ya kuzembea swala kama hili..
 
good idea
 
Nenda kawaone madaktari wa meno kabla hujawa kibogoyo.
 
Nilikuwa siamini hata kidogo Dawa. Za asili na me nilikuwa na tatizo kama lako but me nilikuwa nimeng'oa moja na kuziba 2 but hata niliyoziba yaliendelea kunisumbua kila nikienda Kwa madaktari wa meno option waliyokuwa wanasema ni kung'oa tu but nilinunua Dawa ya asili inaitwa Super Teeth inauzwa na Tress and roots natural herbs no 0752260137 baada ya kitumia hyo Dawa Tatizo la kuuma limeisha kabisa hvyo nakushauri ziba kwanza ndio uanze kutumia Dawa hii jaribu inaweza kukusaidia me Nina mwaka tatizo la Meno kuuma imebaki historia kwangu
 
Back
Top Bottom