hulali mkuu ,hata j2 dentist wapo waziNenda kwa dentist yazibwe kama yametoboka, kwa sasa kunywa painkillers mpaka J3
Huku kwetu Kwamtogole weekend wanafungahulali mkuu ,hata j2 dentist wapo wazi
Habari ya mkuzi mkuu?hulali mkuu ,hata j2 dentist wapo wazi
Hamna dawa ya asili ya kuzuia maumivu kwa muda?Nenda kwa dentist yazibwe kama yametoboka, kwa sasa kunywa painkillers mpaka J3