MENO YANAUMA

MENO YANAUMA

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
Wakuu, Kichwa cha habari chahusika. Meno yote (magego) yanauma sana, hadi uso umevimba. Nikiswaki natema damu tupu. Nimeshaenda Hospital lkn Bado, wamenipa hydrogen peroxide. Je ni dawa ipi nitumie?!
 
Pole sana mwana JF, Kanunue dawa inaitwa Acefen (ACECLOFENAC TABLETS) inaweza kukupunguzia maumivu. Doz yake ni 1*2. Mimi Sio Dkt Ila nilikuwa na tatizo la meno kuuma ndo Dkt akanipa hiyo dawa, binafsi ilifanya kazi.
 
Jamani mimi natafuta wapi hapa bongo naweza kupata huduma hii na kwa bei gani maana yangu yameisha mdomoni
 
Back
Top Bottom