Menopause awareness (elimu ya ukomo wa hedhi)

Haya n mambo yenu ya Siri wanawake. Kupost hapa kwenye Wanaume wengi. Unatukosea Adabu
Haya mambo ya kusema kila kitu ni siri ndio huleta matatizo mbeleni kutokujua mambo mengi ya kimsingi.

Wewe kama mwanaume ni wazi una mke ama utakuja kuwa na mke hudhani ni busara kuwa na ufahamu pale mwenza wako akianza kuonyesha mabadiliko ya menopause. Wanaume tukinyimwa kipochi manyoya hatukawii kushtumu usaliti kumbe maskini ya Mungu mwenzio anaenda kukoma hedhi.

Ni wakati sasa mambo yawe wazi kuepusha sintofahamu na kudanganywa.
 
Sasa ukinyimwa kwani wanawake wameisha au yeye ndio mwanamke peke yake ?

Of course mambo ya hedhi ni mambo ya wanawake peke yao wao na mabinti zao.
 
Haya mambo hayana formulae. Mfano mama yangu menopause alikuwa na miaka 35. Sasa yupo 95 ila chamoto anakipata miaka yote ni joints kuuma na kulalamika kwingi.

Mama mkwe alitutoka akiwa 110 (kulingana na church records). Nazungumzia hili kwa vile watu wengi ni waango, utasikia mimi baba alikufa na miaka 150. Uongo mkubwa, kuna exaggerations nyingi katika suala la umri. Masuala ya menopause siwezi elezea ila mke wangu alikuwa last but one ila alimzaa akiwa 57 years (uchaggani).

Bi mkubwa anakaribia ila ashastaafu kwa mujibu wa sheria.

Nilichogundua, ile menopause ya mapema chini ya miaka 50 inakata hamu kabisa. Hapo ndipo kama mume hana uweo wa michepuko basi ataoa mke mwingine. Tatizo kubwa la waafrika tuna jando na unyago ila hatuna baada ya kukoma hedhi. Hivyo ni tatizo katika familia nyingi. Mwanamke anakuwa na kisrani wakati mwanaume anapenda K yake. Fikiria kivumbi hicho maana hakuna mtu wa kushauri. Ukikuta familia ugomvi wao ni usiku jua supply ya K haipo wakati demand ya K ipo to the maximum.

Tuje kwa wale ambao inakuja karibia na 50, wengi huwa hawana matatizo ya supply ya K ila wengi sana huwa wana hamu kuzidi waume zao. Hii hutokea hasa kwa wale ambao huogopa kutoa K kwa kuogopa kupata mimba. Baada ya Menopause hujiona huru na kujiachia. Hawa ndiyo wale ambao wanasaka viserengeti boys etc.

Njia ya kufanya kwa binti mdogo ili asipate matatizo mbele ya safari. Jitahidi kutotumia madawa na kuharibu K yako. Acha ati kuweka vitu vya ajabu katika K. Acha kutumia madawa ya kukata hedhi etc. Jitahidi kuwa natural na kuutunza mwili wako ili ukuhifadhi hapo baadaye. Angali watu kama Lwiza Mbutu au Dotnata wanavyoteseka sasa ili wawe ni mifano hai kwako. Mambo ya P2 achana nayo, kabla ya sex tafuta vipimo vya Ovulation upime kama ni siku ya hatari. Siku za hatari jitahidi kuwa busy ili usikutane na wa masikhara. Nitaendelea baadaye
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…