Menopause awareness (elimu ya ukomo wa hedhi)

Ukisikiliza moja ya videos hapo juu...
Research zinaonesha 40s ni umri mgumu sana na unakua mgumu zadi 45 na kuendelea kwa wengi....
Then baada ya hapo miaka minne baada ya kukoma pia ni migumu sana kwa wengi lakini 55-60s wengi wanakua on fire and happier again
 
Ahsante kwa kuntoa wasiwasi 😹
 
Swali.
Je mwanamke akifikia kipindi hicho, bado atakuwa na hamu ya ile habari?
Ndo tunataka wa hapa kwetu watupe uhalisia wa jamii...
Mwisho wa siku aina ya maisha yetu na westerns ni tofauti so pengine tofauti za hapa na pale chanya au hasi
 
Endeleeni na mada. Mie niso.e nimfundishe mke wangu ajiandae ili asinigombeze nikiwa nachepuka kwa heshima
 
Najiuliza wale walafi wa mambo yetu yale huwaga wanaishije bila bila wakifikia menopause?

Maana ninajua kwa mwanaume akikosa uwezo wa nguvu kwa ajili ya uzee, kasichana kakikatiza mbele yake huishia kukohoa tu, ama hupunguza stress zake kwa kuhonga kwa hasara.

Lakini kwa kina mama nasikia zipo hormones za kufanya mwanamke aendelee kuwa 'msichana' hadi kudanja, ni hela yako tu.
 
Mkuu upo vizuri nakuunga mkono kwa elimu yako hii.

Ujue nini, wanandoa wengi uzeeni hugawana vyumba, sababu kuu ikiwa ni hiyo kutokuwa na elimu na kuona kuwa mwanaume ananyanyaswa kwa kunyimwa haki zake za msingi.

Jambo jingine tunalokosea wanaume ni kuoa wanawake wanaotuzidi ama tunaolingana nao umri.

Unafikisha 55 mkeo anaanza kuwa mkali kitandani unaona kama anakufanyia hiyana, unakasirika na kwenda 'masimbe' chumba cha wageni, unamtenga!

Oa kwa kumzidi mwanamke miaka 10-20, ili, uishe naye.
 
Kuna jambo unataka kuniacha ama haujaliweka sawa.

... 'baada ya menopause hujiona huru na kujiachia. Hawa ndiyo ambao wanasaka viserengeti boys etc'... !

Inaeleweka kuwa menopause hukata nyege kabisa, iweje baada ya menopsuse awe mlafi hadi kusorolea na kuvilea kwa kuvihonga pakubwa viserengeti boys?
 
Basi wenye 40 huwa wanapitia shda lakin ukiwatazama walivyo smart hata huwa hatugundui kama wanachangamoto kubwa sana katika mabadiliko
 
Si kweli kuwa menopause hukata nyege. Wanawake ni wasiri na wajanja sana likija suala la sex. Wanawake hata 60 wana nyege ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…