Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakukamia kwa sbb hata mm nimeisoma pia BS...sikumbuki mahali iliongelewa menopose kama iliongelewa it was partial sio kiundani kama anavyotaka aielewe madam mtoa mada...Page sikumbuki...
😂😂😂😂Madam mbona kama umenikamia sana..
Ila ni topic ya reproduction...
Bado nadunda sijafikia hiyo stage.
Ni kwa wote....Uzi wa wanawake huu ngoja nikae pembeni
Ukisikiliza moja ya videos hapo juu...Kwa miaka ya siku hz naona mashangaz hayapotez hamu ya kuliwa hata wakiwa na miaka 60 bado wanapenda kupelekewa moto tu
Kwahyo usiogope Sana, menopause iliyoandikwa kwenye makaratas Ni tofaut na inayowapata watu
Mi naona mashangaz yanaendesha maisha yao vizuri tu hata hayana matatizo ya kusahau sahau
We dare to speak openly....Kawaida tu, utamudu tu muda wako ukifika.
Umesoma njoss?Nenda njoss pale ulizia MD faza moyo.😂😂😂😂 Japo huyo najua atakuleta kwangu mans ye ni mstaafu
Ahsante kwa kuntoa wasiwasi 😹Kwa miaka ya siku hz naona mashangaz hayapotez hamu ya kuliwa hata wakiwa na miaka 60 bado wanapenda kupelekewa moto tu
Kwahyo usiogope Sana, menopause iliyoandikwa kwenye makaratas Ni tofaut na inayowapata watu
Mi naona mashangaz yanaendesha maisha yao vizuri tu hata hayana matatizo ya kusahau sahau
jichanganye....Nakuja .....
Mie naona kawaida tu, wala hakuna vya kumudu.We dare to speak openly....
Hivyo vichache ulivyomudu na unavyoendelea kumudu ni vipi?
Mwanaume usome kwa makini ili umjue mke wako vizuri.Kawaida tu, utamudu tu muda wako ukifika.
Ndo tunataka wa hapa kwetu watupe uhalisia wa jamii...Swali.
Je mwanamke akifikia kipindi hicho, bado atakuwa na hamu ya ile habari?
Angalizo: mimi sio daktari wa wanawake na wala sio mtaalamu wa kiswahili
Hii ni maada ambayo haiongelewi kwa upana wake nchini, yawezekana ni sababu ya kukosa maarifa, au watu wanaona kawaida na kuishi na maumivu yao kama nyakati ambazo hakukua na suluhu au wengi wa wanawake hawapitii hayo katika jamii ya Watanzania.
Mimi kama mwanamke ambaye ni mkoma hedhi ajaye, ningependa wenzetu ambao wamepita huko na wapo huko wanamudu vipi kuendelea kuishi maisha yao kila siku.
Hapa naongelea ambao ukomo wa hedhi umetokea kwa sababu ya umri wa kibaolojia (siyo wale ambao imetokea sababu ya operation au dawa).
Kwa ufupi mpaka kufikia ukomo wa hedhi wa kudumu kuna mabadiliko yanatokea.
Peri menopause (kabla ya uko wa hedhi)
Haya ni maandalizi kabla ya ukomo wa hedhi, kwa wengi inawatokea miaka 7-14 kabla ya ukomo wa hedhi.
Inatokea sana kwa wanawake walio 40s na baadhi inaanza 35+
Mara nyingi hali hii inaambatana na baadhi ya mambo yafuatayo (provided maisha yako hayajabadilika kwa kiasi kikubwa);
1. Hedhi kupoteza mtiririko
2. Joto kali (hot flashes)
3. Maumivu makali ya mwili especially joints (aches)
4. Uke kuwa mkavu sana, kupoteza hamu ya tendo
5. Magonjwa ya njia ya mkojo ya kujirudia rudia (UTI)
6. Sonona, kusahau sahau, kukosa umakini, kukosa mental clarity
7. Kuongezeka uzito kupitiliza
Menopause: Ukomo wa hedhi kwa mwaka mmoja mfululizo.
Post Menopause: Mara nyingi miaka 50-55
Hii ni kwa maisha yako yote yaliyobaki bila hedhi. Wapo ambao wanabahatika maisha yanaendelea kama kawaida na maudhi machache ya hapa na pale. Pia wapo ambao mambo yanakua magumu kiasi kwamba maisha ya kawaida inakua ni afadhali ya jana.
1. Wenzetu ambao mnapitia na mmepitia huko mmewezaje na mnawezaje maisha yenu ya kila siku?
2. Mngependa kitu gani kifanyike cha tofauti kwa sisi ambao tupo kuelekea safari hiyo?
3. Mnawezaje kumudu mabadiliko haya kwenye mahusiano yenu ya ndoa au uchumba sugu?
4. Kwa wanaume au mabinti ambao bado, una uzoefu na mtu wako wa karibu alivyobadilika kipindi hichi? Ilikuwaje?
Kwa elimu zaidi mnaweza pitia links hapa chini
View: https://youtu.be/Cgo2mD4Pc54?si=mvtPl4hH9PpKm9VE
View: https://youtu.be/oQqcnYcKx68?si=78J5YjSA2B_jBDQm
Nakaribisha wadau.
Ndio ni partially tuu madam ni part tuu... Tunaweza sema ni kama dfn tuuSijakukamia kwa sbb hata mm nimeisoma pia BS...sikumbuki mahali iliongelewa menopose kama iliongelewa it was partial sio kiundani kama anavyotaka aielewe madam mtoa mada...
Mkuu upo vizuri nakuunga mkono kwa elimu yako hii.Haya mambo ya kusema kila kitu ni siri ndio huleta matatizo mbeleni kutokujua mambo mengi ya kimsingi.
Wewe kama mwanaume ni wazi una mke ama utakuja kuwa na mke hudhani ni busara kuwa na ufahamu pale mwenza wako akianza kuonyesha mabadiliko ya menopause. Wanaume tukinyimwa kipochi manyoya hatukawii kushtumu usaliti kumbe maskini ya Mungu mwenzio anaenda kukoma hedhi.
Ni wakati sasa mambo yawe wazi kuepusha sintofahamu na kudanganywa.
Kuna jambo unataka kuniacha ama haujaliweka sawa.Haya mambo hayana formulae. Mfano mama yangu menopause alikuwa na miaka 35. Sasa yupo 95 ila chamoto anakipata miaka yote ni joints kuuma na kulalamika kwingi.
Mama mkwe alitutoka akiwa 110 (kulingana na church records). Nazungumzia hili kwa vile watu wengi ni waango, utasikia mimi baba alikufa na miaka 150. Uongo mkubwa, kuna exaggerations nyingi katika suala la umri. Masuala ya menopause siwezi elezea ila mke wangu alikuwa last but one ila alimzaa akiwa 57 years (uchaggani).
Bi mkubwa anakaribia ila ashastaafu kwa mujibu wa sheria.
Nilichogundua, ile menopause ya mapema chini ya miaka 50 inakata hamu kabisa. Hapo ndipo kama mume hana uweo wa michepuko basi ataoa mke mwingine. Tatizo kubwa la waafrika tuna jando na unyago ila hatuna baada ya kukoma hedhi. Hivyo ni tatizo katika familia nyingi. Mwanamke anakuwa na kisrani wakati mwanaume anapenda K yake. Fikiria kivumbi hicho maana hakuna mtu wa kushauri. Ukikuta familia ugomvi wao ni usiku jua supply ya K haipo wakati demand ya K ipo to the maximum.
Tuje kwa wale ambao inakuja karibia na 50, wengi huwa hawana matatizo ya supply ya K ila wengi sana huwa wana hamu kuzidi waume zao. Hii hutokea hasa kwa wale ambao huogopa kutoa K kwa kuogopa kupata mimba. Baada ya Menopause hujiona huru na kujiachia. Hawa ndiyo wale ambao wanasaka viserengeti boys etc.
Njia ya kufanya kwa binti mdogo ili asipate matatizo mbele ya safari. Jitahidi kutotumia madawa na kuharibu K yako. Acha ati kuweka vitu vya ajabu katika K. Acha kutumia madawa ya kukata hedhi etc. Jitahidi kuwa natural na kuutunza mwili wako ili ukuhifadhi hapo baadaye. Angali watu kama Lwiza Mbutu au Dotnata wanavyoteseka sasa ili wawe ni mifano hai kwako. Mambo ya P2 achana nayo, kabla ya sex tafuta vipimo vya Ovulation upime kama ni siku ya hatari. Siku za hatari jitahidi kuwa busy ili usikutane na wa masikhara. Nitaendelea baadaye
Basi wenye 40 huwa wanapitia shda lakin ukiwatazama walivyo smart hata huwa hatugundui kama wanachangamoto kubwa sana katika mabadilikoUkisikiliza moja ya videos hapo juu...
Research zinaonesha 40s ni umri mgumu sana na unakua mgumu zadi 45 na kuendelea kwa wengi....
Then baada ya hapo miaka minne baada ya kukoma pia ni migumu sana kwa wengi lakini 55-60s wengi wanakua on fire and happier again
Si kweli kuwa menopause hukata nyege. Wanawake ni wasiri na wajanja sana likija suala la sex. Wanawake hata 60 wana nyege ajabuKuna jambo unataka kuniacha ama haujaliweka sawa.
... 'baada ya menopause hujiona huru na kujiachia. Hawa ndiyo ambao wanasaka viserengeti boys etc'... !
Inaeleweka kuwa menopause hukata nyege kabisa, iweje baada ya menopsuse awe mlafi hadi kusorolea kuvilea kwa kuvihonga pakubwa viserengeti baoys?