Nakuhakikishia hata ufike 70 kama bado unakula vizuri, na maisha hayakupi chenga. Nyege zipo pale pale. Nikupe siri moja, kwa nini unakuta wakati ukifika wanawake wanakuwa maboss ndani ya nyumba? Ni pale ambapo mama anaileta K na baba hasimamishi. Hapo lazima mwanaume uwe mpoleAiiiiiii tayari nipo mwaka wa kwanza wa menopouse 50+afu ashiki ipo palepaleπ
Labda nisubiri mwaka wa pili nione
ππ Fake P
π€£π€£π€£π€£π€
Hiyo miaka ya nyuma kuelekea menopause kulikua na mabadiliko gani ya kimwili??Aiiiiiii tayari nipo mwaka wa kwanza wa menopouse 50+afu ashiki ipo palepaleπ
Labda nisubiri mwaka wa pili nione
ππ Fake P
Nitakulaani mwanangu wewe kwa kunitusinyooooook π€£π€£π€£
Wapo sana watakuja wakiuona uziHivi humu jf hamnaga doctors or hata obygyn?
Sjawahi tumia uzazi wa mpango na nina watoto nane..Hiyo miaka ya nyuma kuelekea menopause kulikua na mabadiliko gani ya kimwili??
Kama hukua na changamoto za kuudhi kupitiliza lifestyle yako ikoje?
Umewahi tumia uzazi wa mpango?
Aaah weeeeeeee!!!πππBado nadunda sijafikia hiyo stage.
Sina dalili yoyote.
Aikooooooo! kiruuuuuuuuuuuuSjawahi tumia uzazi wa mpango na nina watoto nane..
Yaani tokea nianze kujifungua ashiki zipo moto sana,
Na tokea bleed imekata ashiki bado ipo
Sema ndio hivyo babu chanja wangu kastaafu tangu mwaka 2018 na bado
Ananimudu , labda kwa miaka ijayo zitapungua who knows tomorrow?
Changia mada basi.. unapata changamoto gani kwenye meno?π€£π€£π€£π€£π€
HahahahahaaaAikooooooo! kiruuuuuuuuuuuu
Kweli kabisa. 44 kama nimevunja ungo juziπ π πAaah weeeeeeee!!!πππ
ukute menopause ndiyo inakudanganya hivyo ujione una miaka 12πππKweli kabisa. 44 kama nimevunja ungo juziπ π π
π³Meno yapi tena?Changia mada basi.. unapata changamoto gani kwenye meno?
π π π labdaukute menopause ndiyo inakudanganya hivyo ujione una miaka 12πππ
Menopause bhanaππ unaona sasa!π³Meno yapi tena?
Binti mbichiiiiiππππ π π labda