Menopause awareness (elimu ya ukomo wa hedhi)

Aiiiiiii tayari nipo mwaka wa kwanza wa menopouse 50+afu ashiki ipo palepale😖
Labda nisubiri mwaka wa pili nione
😖😖 Fake P
Nakuhakikishia hata ufike 70 kama bado unakula vizuri, na maisha hayakupi chenga. Nyege zipo pale pale. Nikupe siri moja, kwa nini unakuta wakati ukifika wanawake wanakuwa maboss ndani ya nyumba? Ni pale ambapo mama anaileta K na baba hasimamishi. Hapo lazima mwanaume uwe mpole
 
Aiiiiiii tayari nipo mwaka wa kwanza wa menopouse 50+afu ashiki ipo palepale😖
Labda nisubiri mwaka wa pili nione
😖😖 Fake P
Hiyo miaka ya nyuma kuelekea menopause kulikua na mabadiliko gani ya kimwili??

Kama hukua na changamoto za kuudhi kupitiliza lifestyle yako ikoje?

Umewahi tumia uzazi wa mpango?
 
Sjawahi tumia uzazi wa mpango na nina watoto nane..

Yaani tokea nianze kujifungua ashiki zipo moto sana,

Na tokea bleed imekata ashiki bado ipo

Sema ndio hivyo babu chanja wangu kastaafu tangu mwaka 2018 na bado
Ananimudu , labda kwa miaka ijayo zitapungua who knows tomorrow?
 
Aikooooooo! kiruuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom