Mens Cologne (Perfume) that Impress Women, Hear what Women say

Mens Cologne (Perfume) that Impress Women, Hear what Women say

Voyage d'Hermes

_9024903.jpg

Yaani hiyo package yake tu nimeipenda...
Na nahisi itakuwa na harufu nzuri.
 
Haya mapenzi ya kizungu haya..yanatakiwa uyaendekeze ukishatimiza basic need(malazi, mavazi na chakula)..ila kama basic needs hujatimiza utakua unaacha vigezo muhimu kwenye mapenzi unakimbilia vigezo vya ziada..(african perspective)

Exactly bro! Cologne to african ni ziada sana...
 
Jovan products ndo my addiction tangu enzi hizo naibia kwa mshua till now nahama moja moja Leo sex appeal,kesho musk, mtondogoo white musk hizi za bei ghali sometimes unaingia mahali mnakutana na wengine watatu wanne wanazo inakuwaje hapo!
 
Back
Top Bottom