yaani kuna perfume ghali kuliko hiki kimeo changu
navyopenda kupendwapendwa na vibinti itabidi niuze kimeo ninunue perfume
Voyage d'Hermes
Yaani hiyo package yake tu nimeipenda...
Na nahisi itakuwa na harufu nzuri.
Haya mapenzi ya kizungu haya..yanatakiwa uyaendekeze ukishatimiza basic need(malazi, mavazi na chakula)..ila kama basic needs hujatimiza utakua unaacha vigezo muhimu kwenye mapenzi unakimbilia vigezo vya ziada..(african perspective)