Men’s essentials

Men’s essentials

Kuwa mchafu ni hobi, kama unasugua kwapa na mapumbu vizuri kwa brashi, kama unaoga asubuhi na jioni, mwanaume huwezi nuka.
 
Sijawahi kutumia powder spray sijui kwanini, binafsi napenda LYNX AFRICA is the best kwa Jasho la Dar harufu nzuri24/7 afu bei poa.
 
Back
Top Bottom