Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Huitaji kusoma label,kama ni vitu vyako unajua tu hii yenyewe.
Halafu Levi's wala si high-end brand.
Hata kwenye maduka yaliyo high-end hazipo.
Levi's na True Religion au Balmain ni sawa na usiku na mchana!