Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Hadi wewe hujaelewa ndugu yako anachosema 😹😹Nmesoma mara tatu bado sijaelewa ngoja kwanza nitafute supu inawezekana ni ma ulevi yangu tu
Sjampata kabisa etHadi wewe hujaelewa ndugu yako anachosema 😹😹
Sujui ni hangover hata sijaelewa🙆♂️
Dah pombe Sio uji shindiiSujui ni hangover hata sijaelewa🙆♂️
Bwashee pata hata supu ya kongoro , umeandika utumbo mangi.Siku hizi raia wamekuwa wazito kuelewa maandishi😅 Sijui tatizo ni kitu gani! Ni simu kulia atasa! atasa! kila saa🤣🤣. Mi nimekopi tu kama yalivyoandikwa kitabuni, hayahitaji hata context.
Bwashee,sasa hivi atakuja Lamomy kukoleza huu ugomvi,Bwashee pata hata supu ya kongoro , umeandika utumbo mangi.
🤣🤣🤣Bwashee pata hata supu ya kongoro , umeandika utumbo mangi.
nimesoma nikafikiri ni Double Kick niliyochanganya na energy asubuh hii imenifanya nisielewe. kumbe Tupo wengiWachaga mnaitwa huku, kwakweli Mangi haujaeleweka ebu zimua na kisungura kwanza halafu uandike tena..!!
Ni kweli unakuta biashara iko kwenye mikono ya familia tokea vizazi vitatu nyumaNjia iliyopo ni Wachagga kujiunga na kufanya biashara kwa umoja. Kama maduka makubwa ya umoja yakifunguliwa kwa msaada wa serikali kwa maonyi na uongozi mwanzoni, faida nyingi itapatikana ambayo itatumiwa kwa njia nyingi zitakazohitaji fedha siku hizi.