Mentality hii ndiyo iliyowakomboa wachaga kibiashara

We ndiyo umekuja kuthibitisha kabisa kwamba wabongo wengi tuna shida ya kuelewa maandishi.

Hii habari iliandikwa mwaka 1953 kabla ya uhuru. Wachagga wenyewe walikuwa wanafanya mipango yao ya kujiendeleza. Wakaona kuna kitu wanatakiwa kufanya upande wa biashara. Na wanavyosema serikali hawakumaanisha ya kikoloni au ya Tanganyika, walimaanisha ya Kilimanjaro. Na ndiyo maana utaona wanaita nchi ya Kilimanjaro.
 
I'll be honest hata sentensi ya kwanza sikuisoma coz I was already repulsed by the heading.
 
It just occurred to me, hiyo sentensi ya kwanza hata haikuwepo. Ume edit. Uongo?
 
Binafsi nimekimbilia comments .. lakini baada ya kusoma comments mbili na Kukumbuka jina la mtoa mada Lycaon Pictus.. nikarudi tena ..

African wild ๐Ÿ•
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ