fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
soma ujumbe wangu utajuaAzzam ndio nini bwashee?
waishazindua hovyohovyoWameisha zindua!? Ulianza mziki Sasa ni habari za soka nazo zinaanza kunipita nadhani kinachofata ni mapenzi
jitahidi kutuandikia kirefu zaidi. maana sio wote tulifuatilia uzinduzi huo.Yaani ni aibu kubwa kwa viongozi wa timu ya azzam kwa jinsi walivyozindua kits za timu yao kwa mwaka 2025-26,aibu tupu na dhahiri mentality yao ni ya kitoto kabisa
Ubawasiliahaje taarifa hivi ikiwa nusunusu?Yaani ni aibu kubwa kwa viongozi wa timu ya azzam kwa jinsi walivyozindua kits za timu yao kwa mwaka 2025-26,aibu tupu na dhahiri mentality yao ni ya kitoto kabisa
huwezi kujua suala hili kama hujaangalia huo uzinduzi wa kits zaoUbawasiliahaje taarifa hivi ikiwa nusunusu?
Viongozi wa Azam fc wamefanya nini kuhusu uzinduzi wa kits? Hiyo aibu ni juu ya nini?
ok sawajitahidi kutuandikia kirefu zaidi. maana sio wote tulifuatilia uzinduzi huo.
Wewe ambaye umeangalia huo uzinduzi wa kits zao ndiyo ulipaswa sasa ulete taarifa kamili hapa jukwaani,siyo kuleta lawama juu yao alafu unategemea sisi tusiojua lolote tuanze kushiriki lawama zako juu ya Azam.huwezi kujua suala hili kama hujaangalia huo uzinduzi wa kits zao
Kwani wewe mwenyewe umetahiriwa?!I still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
kwa akili yako hicho nilichoandika ni upumbavu?kwa ukubwa wa azam fc inaweza kuzinduaje jezi zake za msimu ujao,hovyohovyo vile?Kuna watu huwa wanaandika nyuzi mambo ya kipumbavu sana.
hoja sio uzuri au ubaya wa jezi,hoja yangu kwa timu kubwa kama azzqm fc bayo ina kila kitu,inazinduaje jezi holela hivyo?Em weka picha ya hiyo jezi tafadhari..