fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
- Thread starter
-
- #21
bro hoja sio jezi ni nzuri au mbaya,hoja ni uke utaratibu mbaya wa uzinduzi utafhani ni timu isiyokuwa na uwezo kifedhaTupicha twa jezi zinafananaje hakuna? Au ni hbr ya kubumba?
hebu nioneshe dosari ya hiyo taarifa yanguWewe ambaye umeangalia huo uzinduzi wa kits zao ndiyo ulipaswa sasa ulete taarifa kamili hapa jukwaani,siyo kuleta lawama juu yao alafu unategemea sisi tusiojua lolote tuanze kushiriki lawama zako juu ya Azam.
tatizo sio uzi bali ni uwezo wako wa kuelewaEtiii huuu nao ni uziii ...! Au udhiii
Utoto kazi sanaI still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Mungu nifundishe kunyamazaUtoto kazi sana