Embu aweke picha ya kifua tuone kama kweli hana hicho kifua...Hana hicho kifua
Tulikumisiiii
Tutaendeleza ugomvi MbinguniUkiua mimi kama shahidi najionyonga kukwepa kesi...
Hahaha... Samakibado wapo majini... watavuliwa sasa hivi...Kazipata baada ya samaki kutoweka
Weka na wewe πππππ
Huendi mbinguni...Tutaendeleza ugomvi Mbinguni
Mm huyu mtoto ninayeimba Love ya Zuchu?Mgawa allergy na vipigo...
Kwetu hampajui?Tulikumisiiii
ππ nina hasira na samaki,, emu usiwaongeleeHahaha... Samakibado wapo majini... watavuliwa sasa hivi...
Ndiyo maana nakuambia unajionaga mbabe... wakati mwepesi tu, unaona unavyoogopa sasa...Mm huyu mtoto ninayeimba Love ya Zuchu?
Mbona sifananiii πππ
Wamekufanyaje kwaniππ nina hasira na samaki,, emu usiwaongelee
Mwambie π€£π€£Embu aweke picha ya kifua tuone kama kweli hana hicho kifua...
Nitakueletea wakufuga vile vidogodogo vina rangi rangi na vimepakaa lipstick...ππ nina hasira na samaki,, emu usiwaongelee
Niko na tiketi tayariHuendi mbinguni...
Achana nae ana maudhi yake huyo... Mwimba umemkaba mpaka kaenda hospitali...Wamekufanyaje kwani
Mimi mbabeNdiyo maana nakuambia unajionaga mbabe... wakati mwepesi tu, unaona unavyoogopa sasa...
Wewe mwenye Avator umeniibia... alafu unataka kugawa... Nitakushitaki Brela...Nimponze na nnπππ