Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Hongera kwa kuishi private life 🤸♂️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kuishi private life 🤸♂️
UsinifokeeeNdio nashtuka hapa, amkaaaaaa
Tena nakuja na ndoo ya maji nakumwagia hapo kitandani, we subiriUsinifokeee
Niamshe taratibu
Nikune kune kichwa hadi niamke
Hii nzurii, wacha niishi nayo
Unataka nisimame, nijitokeze, nijioneshe mbele za watu...Hongera kwa kuishi private life 🤸♂️
Ndiyo maana hutaki kufungua pm...Hii nzurii, wacha niishi nayo
Ataonekana kajikojolea...Tena nakuja na ndoo ya maji nakumwagia hapo kitandani, we subiri
Ma feelings yote haya asubuhi asubuhi....Usinifokeee
Niamshe taratibu
Nikune kune kichwa hadi niamke
Ndio, sitaki unijueNdiyo maana hutaki kufungua pm...
Hahaaa ajiamshe mwenyewe sasaAtaonekana kajikojolea...
Wewe niringie duniani, ila unajua paradiso nimeandaliwe wewe, tena ukiwa mbichi...Ndio, sitaki unijue
Sijui atatoaje godoro nje...Hahaaa ajiamshe mwenyewe sasa
Unajua maana ya kujiamsha mwenyewe...Hahaaa ajiamshe mwenyewe sasa
Sijui, niambieUnajua maana ya kujiamsha mwenyewe...
Hahahahaa ngoja nicheke tena hahahahaaaWewe niringie duniani, ila unajua paradiso nimeandaliwe wewe, tena ukiwa mbichi...
Fungua pm, nikunongoneze huko...Sijui, niambie
Sitaki, we nisubiri paradiso si una uhakika wa kuonana na mimi hukoFungua pm, nikunongoneze huko...
Cheka kwa dharau hapa duniani, ila paradiso ni utamu raha...Hahahahaa ngoja nicheke tena hahahahaaa
Usipofanya mema kwangu hapa duniani, paraidso unaweza usifike nikafika peke yangu...Sitaki, we nisubiri paradiso si una uhakika wa kuonana na mimi huko