Ubishi ndio jadi yanguKwangu siyo Kwa watu, acha ubishi wewe mtoto mdogo...
Hivi leo umefanya kazi kweli Jirani...Ubishi ndio jadi yangu
Sijafanya jirani, we si umeamua kunidisturbHivi leo umefanya kazi kweli Jirani...
Nipe adhabu Jirani...Sijafanya jirani, we si umeamua kunidisturb
Sikufungulii pm hadi 2025Nipe adhabu Jirani...
Nipo mdogo wangu 😊😊😊Kaka kaka kakaa
Naona umerudi baada ya weekend kuisha
Yani wewe😆Nipo mdogo wangu 😊😊😊
J. Mosi na J. Pili ni siku ya kufulia madogo home, na kusafisha safisha mabanda ya bata
Hi mjamaaa
Hi,,Mambo vip?Hi mjamaaa
Here you are... Unapende kukaa baharini, wakati ni muoga wa maji...Huku baharini napunga upepo jirani baada ya kushiba mihogo
Hahaa maji siyasogelei hata, niko mbali nayo.Here you are... Unapende kukaa baharini, wakati ni muoga wa maji...
Jirani, nipo hapa, nikinyosha shingo tu nakuona...Hahaa maji siyasogelei hata, niko mbali nayo.
Uko wapi wewe jirani
Jirani hadi ufike si nitakua nishabebwa na mawimbi.Jirani, nipo hapa, nikinyosha shingo tu nakuona...
Nakuombea oleweshe na mawimbi, ili nije kukuokoa...
Nyani Ngabu, the platform has lost your vigorous reasoning about several issues pertaining to the nation's interests Please get on board and excel your valuable input regarding the ongoing personality attack against the retired CCM party secretary general who had recently opined a constructive idea to review the #agricultural policies to meet the peasants and farmers positive achievements.Ngabu
Sikuhizi kafulia huyo hana sera tenaNyani Ngabu, the platform has lost your vigorous reasoning about several issues pertaining to the nation's interests Please get on board and excel your valuable input regarding the ongoing personality attack against the retired CCM party secretary general who had recently opined a constructive idea to review the #agricultural policies to meet the peasants and farmers positive achievements.
Hahaha Jirani nasubiri upige kelele za msaada...Jirani hadi ufike si nitakua nishabebwa na mawimbi.
Kuna mtu namuona kwa mbali dirishani anajifanya anaongea na simu kumbe ndio wewe unanizoon eeh