Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Nina haki juu yako Jirani, kama vile Adam alivyopewa haki zote juu ya Hawa...Kwamba una haki kuja pm kwangu? Nani kasema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina haki juu yako Jirani, kama vile Adam alivyopewa haki zote juu ya Hawa...Kwamba una haki kuja pm kwangu? Nani kasema
Jirani miwani naondoka nayo...Sawa, utanikuta nakusubiria jirani
Jirani naona unaota mchana mchana, usiku hukulala niniNina haki juu yako Jirani, kama vile Adam alivyopewa haki zote juu ya Hawa...
Na hili jua? Uifate jua likipoa, me macho yangu yataumiaJirani miwani naondoka nayo...
Na Leo ndiyo sitalala kabisa, kheri ya Jana...Jirani naona unaota mchana mchana, usiku hukulala nini
KisaNa Leo ndiyo sitalala kabisa, kheri ya Jana...
Kaka kaka kakaa
Utapozwa na AC Jirani...Na hili jua? Uifate jua likipoa, me macho yangu yataumia
Mechi zinafuatana Jirani...Kisa
Haya nitakuachia, ila nakuazima sio kwamba nakupa mazimaUtapozwa na AC Jirani...
Jirani unapenda mpiraMechi zinafuatana Jirani...
Utaifuata weekend Jirani..Haya nitakuachia, ila nakuazima sio kwamba nakupa mazima
Mwanaume ni kuchoka Jirani...Jirani unapenda mpira
Kesho utachoka zaidi
Hddi weekend na leo J3 jirani, utachakaza miwani yanguUtaifuata weekend Jirani..
Poleni sana wanaumeMwanaume ni kuchoka Jirani...
Nenda ukale alafu urudi hapa..Poleni sana wanaume
Basi tutaongzana wote nikakupatie nyumbani..Hddi weekend na leo J3 jirani, utachakaza miwani yangu
Siendagi majumbani kwa watuBasi tutaongzana wote nikakupatie nyumbani..
Haya kabla sijazimia na njaaNenda ukale alafu urudi hapa..
Kwangu siyo Kwa watu, acha ubishi wewe mtoto mdogo...Siendagi majumbani kwa watu