Mention someone without any reason just to disturb them

Ooh thanks dear, sema jina linavutia sana kulitamka

Thanks for the complement, wewe pia ni among members wanaonivutia hapa jamvini kwa uchangamfu wako na michango yako

Stay blessed
 
Mwenzako kaolewa na anaitwa mama kijacho
Mjumba kajengewa na anamiliki ma Prado[emoji23]
naelewa mkuu, na ninaheshimu sana hilo, kupitia maandiko yake nimeona mara nyingi ni mwanamama aneijivunia sana ndoa yake, hii imenifanya hata naogopa kumzoea

nimeshangaa pia kumuona kwenye uzi kama huu,mara nyingi namuona kwenye siasa na nyuzi ambazo zinahitaji usahuri..tena anajua kutema nondo haswaa, madam Mtende, naomba unisamehe kama nitakua nimekukwaza kwa maandishi yangu, sina nia ya kukuvunjia heshima wala kukujadili, nimeamua tu kuweka hisa zangu hapa
 
Thank you dear fo this amazing complement[emoji847]

You inspires me pia, ni mdada flani hivi very cool, huna papara
Good Lord..!!
Unajua kile umefanya hapa mama angu.???
Hapa nimeshaviimba, kesho naanza kutembea nimenyanyua mabega..!

Nitaanza kuringa sisalimii majirani nitakupita hadii wewe, na nisilaumiwe nikianza kuringa naomba mumlaumu dear Miss Mtende..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…