Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Kwanza naomba nichukue fursa kukushukuru kuniqoute..nilikuwa nikikusubiri mda mrefu sana.asante mno.

Nikaona uzi wowote wa ushauri uko na comment yako nasoma mara mbili mbili.unaushauri mzuri sana.pokea sifa na utukufu [emoji122]

Back to the point.

Chakor ni main character wa movie moja ya kihindi inaitwa udaan kama sijakosea..ila nilijiita Chakorii kwa lafudhi ya kichaga.kwa bahati mbaya sikufanikiwa kuimaliza hiyo movie mana ni ndefu ..ila ni movie nzuri sana unaeza kulia mwanzoni kama mtu wa machoziya karibu.
Nimejaribu kutafuta maana yake kihindi baada ya kuniuliza sijafanikiwa..

Kwa msaada wa anko gugo...[emoji116]View attachment 1566694
Ooh thanks dear, sema jina linavutia sana kulitamka

Thanks for the complement, wewe pia ni among members wanaonivutia hapa jamvini kwa uchangamfu wako na michango yako

Stay blessed
 
Mwenzako kaolewa na anaitwa mama kijacho
Mjumba kajengewa na anamiliki ma Prado[emoji23]
naelewa mkuu, na ninaheshimu sana hilo, kupitia maandiko yake nimeona mara nyingi ni mwanamama aneijivunia sana ndoa yake, hii imenifanya hata naogopa kumzoea

nimeshangaa pia kumuona kwenye uzi kama huu,mara nyingi namuona kwenye siasa na nyuzi ambazo zinahitaji usahuri..tena anajua kutema nondo haswaa, madam Mtende, naomba unisamehe kama nitakua nimekukwaza kwa maandishi yangu, sina nia ya kukuvunjia heshima wala kukujadili, nimeamua tu kuweka hisa zangu hapa
 
Thank you dear fo this amazing complement[emoji847]

You inspires me pia, ni mdada flani hivi very cool, huna papara
Good Lord..!!
Unajua kile umefanya hapa mama angu.???
Hapa nimeshaviimba, kesho naanza kutembea nimenyanyua mabega..!

Nitaanza kuringa sisalimii majirani nitakupita hadii wewe, na nisilaumiwe nikianza kuringa naomba mumlaumu dear Miss Mtende..!
 
Back
Top Bottom