Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ni kukupanikisha tu, utamwaga kila kitu[emoji23]Coca niache naomba niendelee kuwa samaki nina maji mdomoni!
Kuna vitu nitavisema hapa nikashangaza watu.
Tuhamie mada nyingine hii tuipotezee,
Eeh kwahiyo sare ya harusi tutavaa nini? Lace au tutavaa vijora?[emoji23]
Ngoja nitafute angle