Mention someone without any reason just to disturb them

Sasa na ule unene si balaa dada Farida jamani!! [emoji23]
Akidondokea tumbo lile si hatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atawekwa spooning, ila mie sio wa kumfanyia haya baba wa watu.

Kaanza kupoa km zamani. Anaishia ku like tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe si ndio ulikuwa unaendea saloon mara hii umesahau? [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeh mbna nisingeachwa kizembe, gari niliachee? Thubutuuu.
 
Vipo jikoni kainjika viazi na samaki za mwanza mwenzangu [emoji23][emoji23]
Naandaa pilipili na ndimu hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mume wa mtu huyo, huogopiiii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…