Nitafutie huyu mtu...kanizimia simu
Unavunja ndoa yangu live kabisa yaani sio poaTemana naye kwanza keshaeksipaya mazima
Unavunja ndoa yangu live kabisa yaani sio poa
nipo, vipi mishe zinaenda?Umepotea kijana wangu
Ziko poa kabisa, sijui wewe?nipo, vipi mishe zinaenda?
zinaenda kibishi bishi....Ziko poa kabisa, sijui wewe?
Sio uwepo wanguπ?zinaenda kibishi bishi....
haya nimefurahi kuona muandiko wako
nimetype nikafuta, nikatype tena nikafutaSio uwepo wanguπ?
soon anakuja jamaa yako hapa kuniita shogaMshamba hupendi kuniona na amani ππ
Me mbona mweusi, labda nianze kupaka mkorogo
ππππππππsoon anakuja jamaa yako hapa kuniita shoga
mna bifu na mimi?
kama wewe sio kyuti mbona nimekuita cheupe dawa umeitikaππππππππ
Nimecheka mpk machozi khaaaaaaa!!
Hamna chugga man anapenda kukuzingua mdogo wake!! Mnajuana nyie wote wa chugga πππ
Halafu yule sio jamaa yangu, usinitafutie ugomvi na kyuti