Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafutie huyu mtu...kanizimia simu
Unavunja ndoa yangu live kabisa yaani sio poaTemana naye kwanza keshaeksipaya mazima
Unavunja ndoa yangu live kabisa yaani sio poa
nipo, vipi mishe zinaenda?Umepotea kijana wangu
Ziko poa kabisa, sijui wewe?nipo, vipi mishe zinaenda?
zinaenda kibishi bishi....Ziko poa kabisa, sijui wewe?
Sio uwepo wangu😂?zinaenda kibishi bishi....
haya nimefurahi kuona muandiko wako
nimetype nikafuta, nikatype tena nikafutaSio uwepo wangu😂?
soon anakuja jamaa yako hapa kuniita shogaMshamba hupendi kuniona na amani 😂😂
Me mbona mweusi, labda nianze kupaka mkorogo
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌soon anakuja jamaa yako hapa kuniita shoga
mna bifu na mimi?
kama wewe sio kyuti mbona nimekuita cheupe dawa umeitika😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
Nimecheka mpk machozi khaaaaaaa!!
Hamna chugga man anapenda kukuzingua mdogo wake!! Mnajuana nyie wote wa chugga 😂😂😂
Halafu yule sio jamaa yangu, usinitafutie ugomvi na kyuti